
Hussein Ali Mwinyi
June 11, 2025 at 08:32 AM
Nimejumuika na wananchi mbalimbali katika mazishi ya marehemu Abdallah Mohammed Bomba aliyefariki dunia jana.
Mapema, leo nimeshiriki sala ya maiti iliyofanyika katika Msikiti wa Mubarak Mazrui, Mombasa, Mkoa wa Mjini Magharibi.
🙏
❤
❤️
👍
😢
11