Hussein Ali Mwinyi

Hussein Ali Mwinyi

102.8K subscribers

Verified Channel
Hussein Ali Mwinyi
Hussein Ali Mwinyi
June 11, 2025 at 10:36 AM
Serikali imeweka mkazo maalum wa kuifungua Pemba kiuchumi kupitia ujenzi wa uwanja wa ndege, bandari na miundombinu ya barabara. Nimeyaasema hayo leo tarehe 11 Juni 2025, nilipozungumza na Ujumbe Maalum wa Serikali ya Uingereza, ukiongozwa na Mhe. Kate Osamor (MB), Mjumbe Maalum wa Biashara wa Serikali ya Uingereza kwa Afrika Mashariki.
❤️ 🙏 👍 7

Comments