
Samawati Safari
June 9, 2025 at 11:09 AM
*Mapishi ya Kuku wa Rosti (Chicken Curry)*
*Mahitaji:*
- Vipande 6 vya kuku
- *Kwa ajili ya kumarinati:*
- 1/4 kikombe cha mtindi wa kawaida (plain yoghurt)
- Kijiko 1 cha curry paste
- 1 tsp paprika
- 1 tsp pilipili ya unga (chilli powder)
- 1 tsp unga wa Kashmiri
- 1 tbsp kitunguu saumu (garlic)
- Kitunguu 1
- Kijiko 1 cha tomato paste
- 1 tsp curry paste
- 1/2 kikombe cha supu ya kuku (chicken stock)
- Mafuta kwa kupikia
*Jinsi ya Kupika:*
1. Marinati vipande vya kuku kwa mtindi na kijiko 1 cha curry paste, kisha weka pembeni.
2. Katika sufuria, weka mafuta, kaanga kitunguu kwa dakika 1.
3. Ongeza kitunguu saumu na viungo vyote pamoja na kijiko 1 cha curry paste.
4. Ongeza vipande vya kuku vilivyomarinatiwa na pika kwa dakika chache.
5. Mimina 1/2 kikombe cha supu ya kuku, kisha ongeza tomato paste.
6. Weka chumvi kulingana na ladha, endelea kupika hadi kuku aive na mchuzi uwe mzito.
*ENJOY SIKU YAKO,BLUE MONDAY 🩵*

❤️
👍
2