Samawati Safari
Samawati Safari
June 9, 2025 at 03:03 PM
✅ *SAMAWAT GOT TALENTS – RULES* 1. Tuma kipaji chako (video/voice – max dakika 2) 2. Andika username utakayotumia kila wakati 3. Kipaji chochote kinakaribishwa 4. Hakuna matusi au maudhui yasiyofaa 5. Mashabiki watapiga kura kupitia polls hapa kuanzia saa4 kamili had saa5 kamili kwa leo. 6. Mshindi wa kila siku anapata *Tsh 1,000* 7. Mshindi wa mwisho (stage ya fainali) anapata *Tsh 10,000* 8. Tuma kabla ya saa 2 usiku kwa leo Nb;Kuanzia sasa napokea video na voice na zitaanza kupostiwa saa2 usiku then saa4 kamili tutafuangua polls kwaajili ya kura na mshindi mwenye kura nyingi ndo mshind wetu wa leo. Maelezo mengne tena kesho *SAMAWAT GOT TALENTS,SHOW YOUR TALENTS,WIN AND SHINE* *FAINALI YETU ITAKUWA IJUMAA TAREHE 13.6.2025* 🎉 *Jipange, onyesha kipaji chako, ushinde!*
👍 🙏 3

Comments