
Samawati Safari
June 9, 2025 at 04:13 PM
🌿 *Karibu Saadani National Park!* 🌊🦓
Hifadhi pekee Tanzania inayokutanisha *pori la wanyama* na *fukwe za Bahari ya Hindi*!
📍 Iko kati ya Bagamoyo na Pangani — takriban km 130 kutoka Dar es Salaam.
🦁 *Vivutio Vikuu:*
• Safari za wanyama (simba, twiga, tembo)
• Safari ya boti mto Wami (mamba, viboko)
• Mandhari ya kuvutia ya fukwe
• Kutembea kwa miguu & utalii wa kitamaduni
🚙 *Njia za Kufika:*
• Kwa gari kupitia Bagamoyo/Chalinze
• Kwa mashua kutoka Dar, Bagamoyo au Zanzibar
• Kwa ndege ndogo hadi Saadani Airstrip
💰 *Ada ya Kuingia:*
• Watanzania: TZS 2,000
• EAC: TZS 10,000
• Wageni: 20–35
🛏️ *Malazi:*
• Bandas & camps ndani ya hifadhi
• Lodges kama Tembo Kijani & Saadani Safari Lodge
🕒 *Muda Bora wa Kutembelea:*
Juni hadi Oktoba – kiangazi na wanyama wengi kuonekana
🔗 *Soma zaidi hapa:*
https://www.tanzaniatourism.com/destination/saadani-national-park?
📸 *Safiri, jifunze na burudika na SAMAWATI SAFARI!*
#samawatisafari #saadaninationalpark #tanzaniaunforgettable