Samawati Safari
June 9, 2025 at 08:09 PM
*Round 1*
*Mshindi wetu ni Cadenza akiondoka na points 7 siku ya leo huku khanaboy akiwa na points 3*
*Kesho pia ni Round 2 bado tunawakaribisha na una nafasi ya kupindua meza na kuwa kwenye fainali ijumaa kuondoka na zawad yako,tukutane kesho kwenye Round 2*
👍
🫡
2