Samawati Safari
Samawati Safari
June 10, 2025 at 05:35 AM
Tarehe 18 Julai Mwaka 1918 katika kijiji kidogo cha Mvezo, Afrika Kusini. Alizaliwa mtoto wa kabila la Thembu. Hakuwa mtoto wa kifalme, lakini jina alilopewa na familia yake lilikuwa na maana kubwa: Rolihlahla, likimaanisha "mvutaji wa matawi ya mti" au kwa tafsiri pana, "mtu wa matatizo." Jina lake la Kiingereza, Nelson, alipewa na mwalimu wake wa shule, kama ilivyokuwa desturi ya kikoloni wakati huo.. Twende sasa 👇👇👇
Image from Samawati Safari: Tarehe 18 Julai Mwaka 1918 katika kijiji kidogo cha Mvezo, Afrika Kusi...

Comments