
Samawati Safari
June 10, 2025 at 06:16 PM
*Kwa wakazi wa Dar es salaam hapa ni mahali sahihi kabisaa kwako kwenda kutembelea 🩵🥸*
*🌿 PANDE GAME RESERVE – Dar es Salaam 🇹🇿*
Karibu ujionee uzuri wa hifadhi ya asili iliyo karibu na jiji la Dar!
📍 *Mahali*: Kaskazini-magharibi mwa Dar es Salaam (Kinondoni & Ubungo), karibu na Bunju B & Mbezi kwa Yusuph.
🦁 *Vivutio*:
• Wanyama: Nyani, dikidiki, bushbuck, galago, nyoka (green mamba & chatu)
• Ndege wa kuvutia kama falcons & sunbirds
• Msitu wa kipekee wa pwani
🚶♂️ *Shughuli Unazoweza Kufanya*:
• Kutazama wanyama
• Kutembea msituni (nature walk)
• Kuendesha baiskeli
• Picnic & camping
🕘 *Saa za kufungua*:
Kila siku: 8:00 AM – 5:00 PM
📞 *Wasiliana nasi*: +255 757 057 258
*Tembea hifadhi, pumzika na ujifunze – Pande Reserve ni marudio bora kwa mapumziko ya siku moja!* 🌿✨
---
🌍 *SAMAWATI SAFARI* – *LETS EXPLORE THE 🌎* Tukutane na maajabu ya Tanzania 🇹🇿
#samawatisafari
❤️
👍
2