Samawati Safari
Samawati Safari
June 11, 2025 at 06:35 AM
MJUE SHUJAA SHEKILANGO MWENYEWE MWENYE JINA LA BARABARA YA SHEKILANGO, NA NAMNA ALIVYOPOTEZA MAISHA. Nyuzi🧨📖📖 Jijini Dar es salaam kuna Barabara Mashuhuri kama 'Shekilango Road', ikianzia maungio ya Barabara ya Morogoro eneo la Nyumba za NHC mkabala na Kiwanda cha Urafiki, ikipitia Mitaa yote ya Sinza na kuishia Maungio ya Barabara ya Ali Hassan Mwinyi kituo cha Bamaga. Ni watanzania wachache wajuao kuwa Barabara hiyo ya Shekilango imepewa jina Maalum kwaajili ya heshima ya Ndugu Hussein Ramadhani Shekilango, aliyekuwa Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Waziri Mkuu, akishughulika zaidi na mambo ya Utawala, wakati wa Uongozi wa Rais Julius Nyerere na Makamo wake Aboud Jumbe Mwinyi. 👇👇👇👇
Image from Samawati Safari: MJUE SHUJAA SHEKILANGO MWENYEWE MWENYE JINA LA BARABARA YA SHEKILANGO,...
❤️ 1

Comments