Samawati Safari
Samawati Safari
June 11, 2025 at 12:04 PM
*Keki ya Tangawizi* *Viambato:* • 200g unga wa ngano wa kawaida • 1 kijiko cha chai cha baking soda • 1 kijiko cha supu cha tangawizi ya unga • 1 kijiko cha chai cha mdalasini • 100g siagi • 100g sukari ya kahawia • 200g golden syrup • 200ml maziwa • Yai 1 *Maelekezo:* 1. Washa oveni hadi 160°C. 2. Yayusha siagi, golden syrup, na sukari pamoja. 3. Changanya viambato vya unga kavu kisha mimina mchanganyiko wa siagi. 4. Ongeza maziwa na yai, kisha changanya vizuri. 5. Oka kwa dakika 40–45 hadi keki iwe ngumu kidogo na yenye unyevu. *Sasa unaweza anza enjoy 😉 keki yako tamu 😋*
Image from Samawati Safari: *Keki ya Tangawizi*  *Viambato:* • 200g unga wa ngano wa kawaida   • 1...
❤️ 2

Comments