
Samawati Safari
June 11, 2025 at 08:06 PM
Alikuwa mrembo kuliko shida zake.
Jicho lake la kushoto lilikuwa na doa la huzuni, la kulia lilicheka na kila mteja.
Walimuita “Dada Poa wa Buguruni,” lakini jina lake halisi lilikuwa Anna – msichana aliyeishi usiku, akatafuta mwanga ndani ya giza lililomtumia.
Mtaa wa buguruni ulimjua vizuri. Baa zilimwona kama kivuli cha uzuri.
Lakini hakuna aliyefahamu jinsi alivyohesabu kila senti, si kwa urembo wala starehe, bali kwa ndoto ya kuishi tena kama binadamu.
Mwaka 2021, katika chumba cha mpangaji .....
