Samawati Safari
Samawati Safari
June 11, 2025 at 08:09 PM
Miaka michache baadae, Zena alifungua saluni ndogo na kuiita "Anna's Touch." Ukutani kuna picha ya msichana akicheka – picha ya Anna aliyopigwa usiku mmoja akiwa amevaa gauni jeupe, macho yakiwa na mwangaza wa matumaini. Zena huwaambia wateja wake: "Anna alikuwa dada poa, ndiyo. Lakini alikuwa zaidi ya hapo. Alikuwa mwanamke aliyepigana kimya kimya – kwa upendo, kwa ndugu, kwa ndoto. Na siyo kila dada poa ni mwasherati. Wengine ni mashujaa waliokosa njia."
Image from Samawati Safari: Miaka michache baadae, Zena alifungua saluni ndogo na kuiita "Anna's T...

Comments