Samawati Safari
Samawati Safari
June 12, 2025 at 06:25 AM
MfahaM; 𝗧𝗨𝗡𝗗𝗨 𝗔𝗡𝗧𝗜𝗣𝗔𝗦 𝗟𝗜𝗦𝗦𝗨 Mwenyekiti wa Kitaifa wa Chama cha Upinzani cha CHADEMA nchini Tanzania. Mwaka 1968, katika kijiji cha Mahambe, wilayani Ikungi, mkoani Singida, alizaliwa kijana ambaye baadaye Ameibuka kuwa mmoja wa wapambanaji mashuhuri wa haki za binadamu na demokrasia nchini Tanzania. Jina lake ni Tundu Antiphas Lissu. Akiwa mtoto wa familia ya kawaida ya wakulima, maisha ya Lissu hayakuwa rahisi. [ Fungua Uzii ] 🧵🧵 ⬇️
Image from Samawati Safari: MfahaM; 𝗧𝗨𝗡𝗗𝗨 𝗔𝗡𝗧𝗜𝗣𝗔𝗦 𝗟𝗜𝗦𝗦𝗨  Mwenyekiti wa Kitaifa wa...

Comments