AJIRA PORTAL
AJIRA PORTAL
June 1, 2025 at 07:30 PM
*TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI* Wanahitaji wafanyakazi wawili (2) wa kike kwa kazi za stationary. Sifa zinazohitajika: Awe na uelewa wa kazi za stationary. Awe na mawasiliano mazuri kwa wateja. Awe mwaminifu na mwenye nidhamu. Awe tayari kufanya kazi kuanzia saanmoja hadi saa 10 joon Location mipango dodoma Tuma maombi yako kupitia: [email protected] Au whtsap +255 738 140 996 Mwisho wa kutuma maombi: 0 3/06/2025.

Comments