
Tukiio
May 22, 2025 at 09:34 AM
Sajili Familia yako, Wafanyakazi wa Kampuni, Marafiki, Wenzako, Wapendwa wako ili kuungana nasi tarehe
📅14 Juni 2025
📍Viwanja vya Green, Oysterbay
📏mbio za kilomita 5 au 10 & Baiskeli za kilomita 25
🛍 T-shati, Namba ya Bibu, Medali ya Kumaliza, Vinywaji na Burudani, Zawadi za Kushtukiza
Jisajili Sasa kwa Tshs 40,000
Kupitia Tovuti
www.ttpevents.co.tz
👍
❤️
🇹🇿
😀
😂
7