
PZG: PR, Media & Comms
May 26, 2025 at 11:50 AM
Mwanzilishi wa PZG PR, Prudence Zoe Glorious akiwa msemaji katika mjadala wa Accessible by Design ulioandaliwa na Future Ready Summit, May 2025 jijini Dar es Salaam.
Pamoja na wadau wengine wakiwemo Vodacom Tanzania, FCS, CCBRT na washiriki mbalimbali, walitoa wito wa kuunda maeneo rafiki na huduma za kidigitali ambazo ni rafiki na zinazokidhi mahitaji ya watu kutoka makundi mbalimbali ya kijamii, kitamaduni na yanayozingatia uwezo tofauti.
#innovationweektanzania #futurereadysummit #undp #vodacomtanzania #primpactcommunications
❤️
1