PZG: PR, Media & Comms

PZG: PR, Media & Comms

18.4K subscribers

Verified Channel
PZG: PR, Media & Comms
PZG: PR, Media & Comms
May 28, 2025 at 12:47 PM
Mtandao wa Elimu Tanzania TENMET unatafuta mtu mmoja au taasisi yenye uwezo wa kutengeneza na kubuni kitabu cha katuni (comic book), kwaajili ya kuelimisha jamii juu ya madhara ya adhabu za viboko mashuleni. Kitabu hiki kitakuwa nyenzo ya kujifunza kwa ubunifu katika kuhamasisha malezi chanya na mazingira salama ya kujifunza kwa watoto wote. Walengwa: Wasanii wa katuni, wabunifu wa michoro, makampuni au taasisi ya ubunifu yenye uzoefu katika kazi za kisanaa. Maelekezo kamili ya kazi (TOR) yameambatanishwa hapa. https://drive.google.com/file/d/1bGlC1hTD5Gv02327rUbjt6JYm-wlh48F/view?usp=sharing Mwisho wa kutuma maombi ni 10 June 2025.
Image from PZG: PR, Media & Comms: Mtandao wa Elimu Tanzania TENMET unatafuta mtu mmoja au taasisi yenye ...
👍 😮 3

Comments