FursaConnect Jobs
FursaConnect Jobs
May 31, 2025 at 04:34 AM
CV yako ni ID yako mbele ya Mwajiri. Je, inakutambulisha kwa usahihi? Wengi huchukulia CV ni karatasi tu ya kutuma maombi ya kazi. Lakini kwa mwajiri ambaye hajawahi kukuona, hiyo ndiyo picha yako ya kwanza na ya mwisho kama haijamshawishi. CV isiyopangiliwa vizuri ni kama kitambulisho kisicho na jina wala picha. Jiulize: – Je, CV yako inaeleza thamani yako au ni orodha ya majukumu? – Inaonyesha kwa nini wewe ni chaguo sahihi? ☎️ Unamshawishi vipi mwajiri kwenye sekunde 6 za maamuzi?BONYEZA HAPA https://wa.link/bv35wc kwa Msaada Zaidi.
Image from FursaConnect Jobs: CV yako ni ID yako mbele ya Mwajiri. Je, inakutambulisha kwa usahihi? ...

Comments