MEMES KB
MEMES KB
June 11, 2025 at 07:38 AM
Ila Dunia hii....Kila mtu atakula urefu wa kamba yake. Kuna watu hata hawapotezi muda wao katika kubrand miziki yao, kitu ambacho ni Tofauti na hawa Wasanii wa Tanzania. Ed Sheeran ameachia nyimbo yake ya "Sapphire" na ina Viewers kiasi 18M bila promo Wala Post yoyote kutoka kwake katika mitandao ya kijamii. Aliwahi kusikika Kwa kusema kuwa yeye mara nyingi Huwa si mtu wa mitandaoni na ndio mara nyingi watu hawamuonagi akipost Wala kukoment chochote📌
Image from MEMES KB: Ila Dunia hii....Kila mtu atakula urefu wa kamba yake.  Kuna watu hata...
❤️ 1

Comments