
Movie Mtz Store 🍀
May 14, 2025 at 12:39 PM
"MWAMBA AMECHOKA KUISHI"
Ndani ya Mji wa Amsterdam, katika Duka kubwa kabisa la kuuza simu na vifaa vya Iphone [Aple store], linatokea tukio linaloleta taharuki kwa watu waliopo ndani yake..
Jamaa aliyevalia mavazi ya kijeshi anaingia na kuwateka watu wote waliopo ndani yake, huyu hakuja kwa nia ya kuiba wala kupora mali ya mtu, ila anajambo kubwa sana anahitaji alifanye..
Police vichwa vinachemka kwa kutafuta njia ya kuwaokoa watu watoke salama kwani jamaa amekuja na mabomu ya hatari.. Je, watafanikiwa? Na nini sababu ya huyu jamaa kufanya yote haya?
Ni single 2025
IMETAFSIRIWA ✅️
BEI @1000TSH
KALI SANA 🔥
Bonyeza hapa kuipata 👇
https://wa.me/255679733516