
RADIO NUUR FM
June 9, 2025 at 10:33 AM
Assalaam Alaykum Warahmatullah Wabarakaatuh!
Alhamdulillah tumepata Mgeni mkubwa; *SHEIKH YUSUF ABDI* kutoka nchini Kenya 🇰🇪
Mgeni wetu *LEO* Jumatatu (9 June. 2025) atatoa MUHADHARA baada ya Maghrib *MASJID AS-SALAAM*
MADA: *"NI WAMOJA, LICHA YA IKHTILAF ZETU"*
Tafadhali tujitahidi sana kuhudhuria muhadhara huu, mada hii ni muhimu sana katika maisha yetu ya Waislamu wa sasa.
Na pia tusisahau kuwajulisha na kuwahimiza na wengine in sha ALLAH.
Shukran ! Barakallah Fiikum !!!

❤️
2