
OFISI YA WAZIRI MKUU SERA BUNGE NA URATIBU
June 2, 2025 at 09:14 AM
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Dkt. Jim Yonazi mada wakati wa Mkutano wa Jukwaa la Nane la Dunia la Kupunguza Madhara ya Maafa unaoendelea Mjini Geneva, Uswisi kuanzia tarehe 02 hadi 6 Juni 2025. Kulia kwake ni Mkurugenzi wa Ufuatiliaji na Tathmini, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Bw. Charles Msangi.