
OFISI YA WAZIRI MKUU SERA BUNGE NA URATIBU
June 2, 2025 at 09:18 AM
Baadhi wa Wajumbe wa Mkutano wa Jukwaa la Nane la Dunia la Kupunguza Madhara ya Maafa unaoendelea Mjini Geneva, Uswisi kuanzia tarehe 02 hadi 6 Juni 2025 wakifuatilia mkutano huo.