OFISI YA WAZIRI MKUU SERA BUNGE NA URATIBU
OFISI YA WAZIRI MKUU SERA BUNGE NA URATIBU
June 2, 2025 at 09:22 AM
Mkurugenzi wa Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu, Ofisi ya Waziri Mkuu(Sera, Bunge na Uratibu) Bi. Stella Mwaiswaga (katikati) akifuatilia mada wakati wa Mkutano wa Jukwaa la Nane la Dunia la Kupunguza Madhara ya Maafa unaoendelea Mjini Geneva, Uswisi kuanzia tarehe 02 hadi 6 Juni 2025.
Image from OFISI YA WAZIRI MKUU SERA BUNGE NA URATIBU: Mkurugenzi wa Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu, Ofisi ...

Comments