
OFISI YA WAZIRI MKUU SERA BUNGE NA URATIBU
June 2, 2025 at 09:25 AM
Naibu Mwakilishi Mkazi wa Uswisi katika Umoja wa Mataifa na Masuala mengine ya Uendeshaji Geneva, Balozi Julien Thoni akizungumza jambo wakati wa Mkutano huo.
