GLOBIFY
GLOBIFY
June 11, 2025 at 05:39 PM
*ZLATAN IBRAHIMOVIĆ ATEMBELEA SERENGETI* Nyota wa soka duniani, Zlatan Ibrahimović, ametembelea Hifadhi ya Taifa ya Serengeti na kuvutiwa na mandhari ya asili pamoja na wanyama pori. Ziara yake inaonesha hadhi ya Serengeti kama kivutio kinachowavutia mastaa wa kimataifa🔥 https://chat.whatsapp.com/IKs6EvbpePq3fI9U7go9iE *GLOBIFY TOURS*
Image from GLOBIFY: *ZLATAN IBRAHIMOVIĆ ATEMBELEA SERENGETI*  Nyota wa soka duniani, Zlata...
❤️ 👍 2

Comments