
Thika Town Today - 3T
June 13, 2025 at 03:13 AM
FROM OUR INBOX:
Hello admin,
Please highlight about Tuktuk in Thika town. Zimekuwa notorious kusimama kwa barabara anyhow na kusababisha congestion.
Ziwekwe jina ya Sacco kando ya Tuktuk kama PSVs zingine ili tunajua Tuktuk ni ya Sacco gani.
👍
4