
Thika Town Today - 3T
June 13, 2025 at 09:15 AM
Kutetea boychild saa zingine huwa ngumu sana. Kijana anafanya mjengo kwa residential estate next ya barabara.
Kazi ni kuharass wasichana wale wanapotia hapo bila kujua ni daughters wa nani.
No wonder vijana wamejaa jela for sexual harassment na defilement.