NL JOB PORTAL
NL JOB PORTAL
May 22, 2025 at 05:54 AM
*🗣️TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI* Kampuni inayojihusisha na uuzaji wa nguo na bidhaa mbalimbali inahitaji wafanyakazi wa nafasi zifuatazo: ● Cashier ● Sales ●Store Keeper Sifa Muhimu: Mwombaji awe na ujuzi na uzoefu unaohusiana moja kwa moja na nafasi anayoiomba. Eneo la kazi: Dar es salaam Jinsi ya Kutuma Maombi: Tuma maombi yako kupitia email hii 👉 [email protected] Tuma maombi mapema SHARE KWA WENGINE

Comments