
NL JOB PORTAL
June 6, 2025 at 01:14 AM
ATUA ZA KUFANYA USAJILI.
BONYEZA KIUNGA HIKI.
👇👇
https://www.mutamark.co.tz/sign-up/account
1. Andika Jina lako au Jina la Biashara yako.
2. Email yako ambayo unaweza ukaifikia(Acess)
3. Password
4. Thibitisha password uliyoweka awali
5. Tick hapo kama wewe sio Robot ( Soma vizuri maelekezo na ufanye machaguo unayoambiwa kwenye Puzzle)
6. Bonyeza (sign up)
Baada ya hapo utaambiwa ingia kwenye Email yako.
Ufanye verification ya Email yako.
Utabonyeza neno (verify).
Atua ya Pili ni Kubonyeza neno.
(Google).
1. Kama unazaidi ya Email 1 changua Email ya kufanyia usajili
2. Utaambiwa ingia kwenye inbox au spam ya Email yako thibitisha na set password yako.
Then utakuwa umekamilisha usajili ndani ya *MutaMark Marketplace Platform.*
Utakuwa unaingia kwa kuweka Email yako na Password utakayo set.
Utakuwa free kupost au kutangaza huduma, bidhaa au kazi unazouza.
Karibu sana
MutaMark Group
By Admin.