
ONCO INTELLIGENCE
June 6, 2025 at 01:30 PM
*🫁 Unakikohoa kwa muda mrefu bila kupona?*
Usipuuzie ni wakati wa kuchukua hatua. Saratani ya mapafu inaweza isijitokeze mapema lakini dalili zake huanza polepole.
Sio kila dalili ni saratani lakini uchunguzi wa mapema huokoa maisha.
*🔗 What's App Group*
https://chat.whatsapp.com/JhztF8fG01cEWp0OBz6cOE
*#sarataniyamapafu*
*#oncointelligence*