ONCO INTELLIGENCE
ONCO INTELLIGENCE
June 11, 2025 at 05:53 AM
*⚠️⚠️ Je, unajua historia ya Saratani kwenye familia yako?* Saratani inaweza kurithiwa, kwa hivyo ni muhimu kufahamu hali za kiafya zinazojirudia kwenye familia yako. 1️⃣ Zungumza na daktari 2️⃣ Pata ushauri wa vipimo 3️⃣ Saidia familia yako kufanya maamuzi sahihi. *SHARE NA FAMILIA YAKO USIPUUZE 🔔🔥* #uelewawasaratani #oncointelligence
Image from ONCO INTELLIGENCE: *⚠️⚠️ Je, unajua historia ya Saratani kwenye familia yako?*   Saratani...
👍 1

Comments