
ONCO INTELLIGENCE
June 13, 2025 at 10:30 AM
✍️Jifunze kukabiliana na Hofu, Wasiwasi na Hisia zinazojitokeza katika safari ya Saratani. Huu sio mwisho, bali ni mwanzo wa pigano jipya. Tambua hisia zako, kubali hali halisi na jitunze kimwili, kiakili na kihisia. Kumbuka una nguvu zaidi kuliko unavyodhani