Hon. Hemed Suleiman Abdulla
Hon. Hemed Suleiman Abdulla
June 13, 2025 at 11:50 AM
Leo tarehe 13.06.2025 nimejumuika na Viongozi mbali mbali, wanafamilia, ndugu jamaa na marafiki katika swala na duwa ya kumuombea Marehemu Abdallah Ali Mfaume, ambae ni kaka wa Katibu Mtendaji Ofisi ya Mufti Mkuu wa Zanzibar iliyoswaliwa katika Msikiti wa Miembeni na kuzikwa kijijini kwao Unguja Ukuu Kaepwani Wilaya ya Kusini Unguja. Inna lilah wainna ilayhi rajiun. 📍 Miembeni - Zanzibar 🗓 13.06.2025

Comments