Hon. Hemed Suleiman Abdulla
Hon. Hemed Suleiman Abdulla
June 13, 2025 at 03:15 PM
Nimeendelea na ziara yangu ya kuimarisha chama ndani ya Wilaya ya Kaskazini "A", Mkoa wa kazkazini Unguja na kufanya mazungumzo na Viongozi wa Halmashauri Kuu ya Wilaya, Kamati za Siasa za Jimbo na wadi katika kwenye Tawi la CCM Chaani Masingini. 📍Chaani Masingini - Zanzibar 🗓 13.06.2025

Comments