
Citizen Digital
June 11, 2025 at 02:58 PM
Je, mswada wa fedha wa 2025/2026 ni wa kumfaidi ama kumkandamiza mwananchi?
Jiunge nasi Alhamisi kuanzia 8:00 PM tutakapokuwa tukijadili zaidi pamoja na @Dr.Mumo Muinde, David Kingoo na Mhe. Gathoni Wamuchomba
Usikose!
#financebill2025
#radionumberone

👍
😢
❤️
🙏
11