
KBC Digital
June 14, 2025 at 08:08 AM
Mashambulizi ya Israeli katika maeneo ya nyuklia ya Iran. Kombora la Iran lililoshambulia Tel Aviv. Ni wakati wa kuacha. Amani na diplomasia lazima ziwepo.
Antonio Guterres, Katibu Mkuu Umoja wa Mataifa
#kbcniyetu ^RO

🇵🇸
🇮🇱
👍
🕊
5