The Gift Haus 🎁
June 3, 2025 at 07:03 AM
Classic men wallets available at our gift shop.
Wallet zetu ni Leather material na inamuonekano mzuri sana.
Bei ni kuanzia 20,000/- -35,000/- tuu.
✅Tunaweza kuicustomize kwa kuandika jina na ujumbe kwenye mkanda. (Gharama itaongezeka 10,000 kwaajili ya customization)
✅Free wrapping & gift card kama unapeleka zawadi.