The Gift Haus 🎁

The Gift Haus 🎁

26.7K subscribers

Verified Channel
The Gift Haus 🎁
The Gift Haus 🎁
June 13, 2025 at 08:43 AM
Raha ya kununuliwa ndinga na umpendae 🤩🤩👌🥰 Hongera sana Madam Hanipha kwa kumiliki ndinga mjini. 🤩👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻 Matajiri wanaoagiza na QFK Motors…. Car decoo dobe by us. ✅ Huduma ya kupamba Gari ni nafuu sana maboss zangu. Tunacar ribbon za aina mbalimbali. Karibu tukupambie gari yako mpya uizindue ikiwa inapendezaaaa 🤩🤩👌 Shukran sana boss wangu @qfk_motors kwa kuendelea kutuamini na kufanya kazi nasi. Karibu tena na tena @thegifthaus_tanzania

Comments