
BashBuzz
June 13, 2025 at 02:45 PM
Idara ya afya Malindi imetangaza kupungua kwa maambukizi ya Malaria kutoka asilimia 7 hadi 2 ndani ya mwaka mmoja, ikitaja usambazaji wa vyandarua na matibabu bora kuwa mikakati iliyochangia.
