
BashBuzz
June 13, 2025 at 04:22 PM
Idara ya mahakama kaunti ya Lamu imetamaushwa na ongezeko la kesi zinazohusu vijana wanaotumia madawa ya kulevya visiwani, vijana wenye umri mdogo na hata wanafunzi wa shule wakifikishwa mahakamani.
