
BashBuzz
June 13, 2025 at 06:52 PM
*AJALI MBAYA YATOKEA CHUMANI*
Ajali mbaya imefanyika eneo la Kararacha-Chumani. Ajali hiyo imehusisha gari aina ya Tx na pikipiki iliyokuwa imebeba watu wawili.
Kulingana na walioshuhudia ni kwamba abiria mmoja amefariki papo hapo huku wengine wakikimbizwa hospitali.
