
BashBuzz
June 14, 2025 at 04:50 AM
*KAUNTI MOMBASA*
Waziri wa elimu Mombasa Dkt. Mbwarali Kame amesisitiza kuwa wataendelea kupinga biashara ya muguka, akitaja athari zake kwa afya ya vijana, ongezeko la uraibu, kudorora kwa maadili na utendakazi.
