
Tanzania National Parks
June 12, 2025 at 05:25 PM
Mapema leo, Kamishna wa Uhifadhi TANAPA, CPA (T) Musa Nassoro Kuji aliwasili Bungeni, Dodoma kuhudhuria wasilisho la Hotuba ya Bajeti ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026.
Leo tarehe 12.06.2025, Waziri wa Fedha Mhe.Dkt.Mwigulu Nchemba (Mb) amewasilisha Bajeti Kuu ya Serikali Mwaka wa Fedha 2025/2026 Bungeni

👍
❤️
🙏
😢
20