Prime Minister Tanzania

Prime Minister Tanzania

257.1K subscribers

Verified Channel
Prime Minister Tanzania
Prime Minister Tanzania
June 3, 2025 at 03:46 PM
*WAZIRI MKUU AHANI MSIBA WA MDOGO WA WAZIRI LUKUVI* Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Juni 3, 2023 amehani msiba wa marehemu Mtwa Xaviery Lukuvi ambaye ni mdogo wa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera,Bunge na Uratibu , William Lukuvi (kulia), nyumbani kwa marehemu, Mbezi Beach jijini Dar es salaam.
👍 ❤️ 🙏 7

Comments