
Prime Minister Tanzania
June 13, 2025 at 11:12 AM
*WAZIRI MKUU AZINDUA ALBINO MOBILE APP*
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizindua programu janja ya ‘Albino Mobile App’ ambayo itawezesha kufanya usajili na ukusanyaji wa taarifa za watu wenye ualbino kwa njia ya kidigitali.
Amefanya uzinduzi huo leo Juni 13, 2025 alipomuwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Uelewa kuhusu Ualbino yaliyofanyika katika uwanja wa Mwanga Centre, mkoani Kigoma.
❤️
2