
Visit Ngorongoro - Tanzania
June 4, 2025 at 05:58 AM
Jiunge nasi kwenye safari hii ya kipekee!
Tembelea moja ya maajabu sita ya dunia — Eneo la Hifadhi ya Ngorongoro kupitia Maonesho ya Kimataifa Karibu Kili Fair 2025!
📍 Safari inaanzia Shopper's - Arusha
💰 Gharama ya Ofa: TZS 195,000 tu!
Usikose fursa hii adhimu ya kushuhudia uzuri wa asili, wanyama wa porini, na mandhari ya kuvutia kabisa duniani!
📞 Wasiliana nasi sasa: 0755-559013
#ngorongorocrater #tanzaniasmilesafaris #kilifair2025 #maajabuyadunia #safariyandoto
❤️
👍
😮
🙏
8