
Visit Ngorongoro - Tanzania
June 12, 2025 at 04:19 PM
BUNGENI DODOMA.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.Tulia Ackson (Mb) akimtambulisha Kamishna wa Uhifadhi NCAA, Abdul-Razak Badru kwa waheshimiwa Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya Waziri wa Fedha Mhe.Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) kuwasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026 leo tarehe 12 Juni, 2025.
👍
❤️
4