
BashBuzz
June 15, 2025 at 01:47 PM
Jumanne hii wabunge watawasilisha ripoti bungeni na mapendekezo baada ya kuhoji pande mbalimbali zilizohusika katika kifo cha mwalimu na mwanablogu Albert Ojwang chini ya ulinzi wa polisi.
