BashBuzz
BashBuzz
June 17, 2025 at 12:41 PM
*🔴 BREAKING:* Mtu mmoja apigwa risasi kichwani karibu na Imenti House katikati mwa jiji la Nairobi wakati wa maandamano ya kudai haki kwa waathiriwa wa ukatili wa polisi.

Comments